[kictanet] The big Kwaheri: reflecting on 10 years on the MJ 10 yr safari and his-tory - day 1
lordmwesh
lordmwesh at gmail.com
Tue Oct 12 18:09:26 EAT 2010
Kitu kimoja ningeweza kukumbuka kutoka kwa huyu MJ ni vile Safaricom
iliingilia biashara aina zote za technologia ya mawasiliano nchini
Kenya kuanzia kuuza computer, kusajili tovuti, na biashara zingine
ndogo ndogo zilizokua zinafanywa na wanabiashara wachanga ili kujiinua
maishani. Mfumo huu wa kazi uliweza kuangamiza biashara nyingi za watu
wanaojikaza kujikimu kimaisha. Ingefaa kama Safaricom ingeshindana na
makampuni makubwa ya duniani kama vile IBM ama Google kwenye biashara
zake badala ya kushindana na Wakenya.
On a positive note, I love the SWOT team of Safaricom, they would come
up with new products, services, and tarrifs to reinvent themselves
whenever need arises.
I have a feeling that Safaricom's affiliation to the parent company
Vodafone gave it undue mileage in forms of innovation, technical
support, products duplication, and knowledge transfer.
All the same, MJ was God sent for Safaricom
Regards
Mwendwa Kivuva
--
______________________
twitter.com/lordmwesh
transworldAfrica.com <http://transworldafrica.com/> | Fluent in computing
kenya.or.ke | The Kenya we know
More information about the KICTANet
mailing list